Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja