Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Maendeleo hayana chama, jiwe alikusanya hadi walimu kwa lazima wakapokee ndeegeWananchi wakisusia shughuli za kisiasa kwa jumla ni suala la hatare sana kwa mustakbali wa Nchi
Unabishana na tahira,kwanza halipo dar linapayuka payuka. Yeye chawa ila anadai kawahi uwanja wa ndege kufanya Nini.Kwani anafika saa ngapi? Umeshindwa kumwandalia mumeo Chai unawahi siti ya mbele kumpokea mwamba kiboko ya chawa
Mbona sukuma gang mnahangaika kiasi hiki?Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Ni mzushi sana huyu dogoIla mwamba unahangaika Sana na Chadema aisee. Sana yaani. Yaani chadema inakuchukulia muda wako na feelings zako na akili yako kuliko inavyowachukila hivyo vitu Wana chadema wenyewe.
Ulisema uko mwanza ukaripoti walivyofeli kupata watu, kesho yake ukasema upo Musoma watu wameisusa chadema leo unasema uko airport kwenye mapokezi ya lisu
Ujue Wana chadema wengi tu saa hizi wako makazini kwao easy tu au wengine wako na wapenzi wao wamekumbatiana Wana enjoy maisha ila wewe kiguu na njia kila ilipo chadema
saa mbili asubuhi uko uwanja wa ndege kwa jambo lisilokuhusu! umbea ni ugonjwa wa akili.Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika?
Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja wakimsubiri Lissu, lakini imekuwa kinyume chake.
Hadi sasa sijajua CHADEMA wamekosea wapi maana wananchi wamegoma kabisa.
Nikitoka hapa airport nitaenda pia kule Temeke kuona mkutano utakuaje, nitawaletea report ya moja kwa moja
Huna kazi?Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.