Uchaguzi 2020 Wananchi wamkataa aliyeongoza kura za maoni Rombo

waziri2020

Senior Member
Joined
May 31, 2019
Posts
197
Reaction score
468
Aliye kuwa diwani wa kata ya Chala kwa muda wa miaka mitano kwa mwaka 2010 wilayani Rombo mkoani kilimanjaro Clara joseph Gwandu Ameingia katika kashfa na mgogoro mkubwa na wananchi wa vijiji vya chala , mamsera kati na chini wakimtaka kurejesha rasilimali alizojimilikishia alivyotoka madarakani mara moja kabla majina ya wagombea kurudishwa katka kata na chama chamapinduzi wilaya ya Rombo

Wakiongea na vyombo vya habari wananchi hao wameleza kukerwa na diwani huyo wa kata kwa kuuza maeneo ya wananchi likiwemo eneo la Kidondoni kata ya Chala.

Ndugu waandishi wa habari sisi kama wananchi wa kata hii ya Chala tunaomba Dr Bashiru Ally kuangalia kura za maoni kwani tuna off kubwa sana mama huyu Clara Joseph kutumia rushwa kwa wajumbe kurudi madarakani kwa nguvu hata tumalizia rasilimali zetu.

Mpaka sasa amejimilikishia eneo pekee linalo toka matofali ya ujenzi katika machimbo eneo la vumbi la cement pamoja na msitu wa Kisereni wa kuvuna miti ya ujenzi ikiwemo na eneo la ziwa Chala ambapo mpaka sasa kuna mgogoro mkubwa na kijiji.

Endapo jina la diwani huyu litarejeshwa na CCM sisi tupo tayari kuchagua upinzani kwa sababu sio chaguo letu tutapigia kura upinzani Chadema au NCCR Mageuzi washinde kwani tumechoshwa na tabia zake za kujimilikishia mali za wananchi alisema bwana Prosper Limo.

Wananchi hao wameenda mbali wakasema kuwa kata hiyo iko mikononi mwa CCM kwa muda wa miaka mitano lakini sasa tutachagua upinzani endapo atutaletewa chaguo letu kwani Clara Alisa sababisha mwanzoni mwa mwaka 2015 kata kwenda Chadema Mara hii ameteuliwa tena kuwa mgombea wa CCM huku akiwa na mapungufu makubwa.

Clara katika uongozi wake alitumia madaraka yake kujinufaisha mwenyewe yeye pamoja na familia yake huku akishindwa kusimamia miradi ya maendeleo ikiwemo hospital Barabara pamoja na mambo mengineyo mengi.

Mpaka sasa wananchi wameandika barua ofisi ya CCM wilaya mara baada ya kuongoza katika kura za wajumbe zilizo fanyika hivi karibuni na Clara kuongoza katika kura hizo.

1812540093.jpg
 
Acha hizo,kama wajumbe wamekukataa usimchafue mwenzio,jipange upya kwa next election.

Binafsi nimeelewa kwanini wajumbe walikukataa,bandiko lako limenionyesha namna ulivyo
 
Aliye kuwa diwani wa kata ya Chala kwa muda wa miaka mitano kwa mwaka 2010 wilayani Rombo mkoani kilimanjaro Clara joseph Gwandu Ameingia katika kashfa na mgogoro mkubwa na wananchi wa vijiji vya chala , mamsera kati na chini wakimtaka kurejesha rasilimali alizojimilikishia alivyotoka madarakani mara moja kabla majina ya wagombea kurudishwa katka kata na chama chamapinduzi wilaya ya Rombo

Wakiongea na vyombo vya habari wananchi hao wameleza kukerwa na diwani huyo wa kata kwa kuuza maeneo ya wananchi likiwemo eneo la kidondoni kata ya chala

Ndugu waandishi wa Habari sisi kama wananchi wa kata hii ya Chala tunaomba Doctar Bashiru Ally kuangalia kura za maoni kwani tuna off kubwa sana mama huyu Clara Joseph kutumia rushwa kwa wajumbe kurudi madarakani kwa nguvu hata tumalizia rasilimali zetu

Mpaka sasa amejimilikishia eneo pekee linalo toka matofali ya ujenzi katika machimbo eneo la vumbi la cement pamoja na msitu wa kisereni wa kuvuna miti ya ujenzi ikiwemo na eneo la ziwa chala ambapo mpaka sasa kuna mgogoro mkubwa na kijiji

Endapo jina la diwani huyu litarejeshwa na Ccm sisi tupo tayari kuchagua upinzani kwa sababu sio chaguo letu tutapigia kura upinzani Chadema au Nccr mageuzi washinde kwani tumechoshwa na tabia zake za kujimilikishia Mali za wananchi alisema bwana prosper limo

Wananchi hao wameenda mbali wakasema kuwa kata hiyo iko mikononi mwa Ccm kwa muda wa miaka mitano lakini sasa tutachagua upinzani endapo atutaletewa chaguo letu kwani Clara Alisa sababisha mwanzoni mwa mwaka 2015 kata kwenda Chadema Mara hii ameteuliwa tena kuwa mgombea wa Ccm huku akiwa na mapungufu makubwa

Clara katika uongozi wake alitumia madaraka yake kujinufaisha mwenyewe yeye pamoja na familia yake huku akishindwa kusimamia miradi ya maendeleo ikiwemo hospital Barabara pamoja na mambo mengineyo mengi

Mpaka sasa wananchi wameandika barua ofisi ya Ccm wilaya mara baada ya kuongoza katika kura za wajumbe zilizo fanyika hivi karibuni na Clara kuongoza katika kura hizo.

Hayo no majungu tu ,watamkaaaje wakati kuna mchujo ?,mshindi wa kuongoza kura za maoni sio kuteuliwa ,hawa watafanya jina la huyo jamaa lirudi ,kwani wameonyesha chuki binafsi
 
Wananchi wanaandikaje barua moja?
Angesema mwananchi kaandika barua, tunemuelewa.
 
Aliye kuwa diwani wa kata ya Chala kwa muda wa miaka mitano kwa mwaka 2010 wilayani Rombo mkoani kilimanjaro Clara joseph Gwandu Ameingia katika kashfa na mgogoro mkubwa na wananchi wa vijiji vya chala , mamsera kati na chini wakimtaka kurejesha rasilimali alizojimilikishia alivyotoka madarakani mara moja kabla majina ya wagombea kurudishwa katka kata na chama chamapinduzi wilaya ya Rombo

Wakiongea na vyombo vya habari wananchi hao wameleza kukerwa na diwani huyo wa kata kwa kuuza maeneo ya wananchi likiwemo eneo la Kidondoni kata ya Chala.

Ndugu waandishi wa habari sisi kama wananchi wa kata hii ya Chala tunaomba Dr Bashiru Ally kuangalia kura za maoni kwani tuna off kubwa sana mama huyu Clara Joseph kutumia rushwa kwa wajumbe kurudi madarakani kwa nguvu hata tumalizia rasilimali zetu.

Mpaka sasa amejimilikishia eneo pekee linalo toka matofali ya ujenzi katika machimbo eneo la vumbi la cement pamoja na msitu wa Kisereni wa kuvuna miti ya ujenzi ikiwemo na eneo la ziwa Chala ambapo mpaka sasa kuna mgogoro mkubwa na kijiji.

Endapo jina la diwani huyu litarejeshwa na CCM sisi tupo tayari kuchagua upinzani kwa sababu sio chaguo letu tutapigia kura upinzani Chadema au NCCR Mageuzi washinde kwani tumechoshwa na tabia zake za kujimilikishia mali za wananchi alisema bwana Prosper Limo.

Wananchi hao wameenda mbali wakasema kuwa kata hiyo iko mikononi mwa CCM kwa muda wa miaka mitano lakini sasa tutachagua upinzani endapo atutaletewa chaguo letu kwani Clara Alisa sababisha mwanzoni mwa mwaka 2015 kata kwenda Chadema Mara hii ameteuliwa tena kuwa mgombea wa CCM huku akiwa na mapungufu makubwa.

Clara katika uongozi wake alitumia madaraka yake kujinufaisha mwenyewe yeye pamoja na familia yake huku akishindwa kusimamia miradi ya maendeleo ikiwemo hospital Barabara pamoja na mambo mengineyo mengi.

Mpaka sasa wananchi wameandika barua ofisi ya CCM wilaya mara baada ya kuongoza katika kura za wajumbe zilizo fanyika hivi karibuni na Clara kuongoza katika kura hizo.

blah blah blah....

Nonsense
 
Mwaka huu upinzani kuna majimbo itashinda kwa hasira za wananchi tu.

Kimbembe kitakuja mheshimiwa naye baada uchaguzi kwisha na vumbi kutulia atawasema sana wale wote waliochagua upinzani na atahakikisha wanateseka au hawapelekewi maendeleo ikiwa ni kama adhabu yake kwa kuwabwereresha wapinzani.
 
Standard ya uandikaji wa kiswahili hapa ni mbovu sana. Yaani mleta hoja na wachangiaji kadhaa wameandika kiswahili cha ajabu mno! Nasema tu mie!
Almuhim tumeelewana. Kwa hii mikiki mikiki ya maisha ilivyo watu hukosea.

Kama ambavyo na wewe umekosea. "Standard" sio neno la Kiswahili.
Sio "uandikaji" ulitakiwa useme _uandishi_

Hivyo tuvumiliane mkuu.
 
Mwaka huu upinzani kuna majimbo itashinda kwa hasira za wananchi tu.

Kimbembe kitakuja mheshimiwa naye baada uchaguzi kwisha na vumbi kutulia atawasema sana wale wote waliochagua upinzani na atahakikisha wanateseka au hawapelekewi maendeleo ikiwa ni kama adhabu yake kwa kuwabwereresha wapinzani.
Hashindi sasa
 
Back
Top Bottom