Hapo raia sio wezi.. wameamua kumuadabisha huyo askari.Duh ngoma inakua droo, polisi na raia wote wanakua wezi.
Mwenye mbwa amekula mbwa.Duh ngoma inakua droo, polisi na raia wote wanakua wezi.
Hapo raia sio wezi.. wameamua kumuadabisha huyo askari.
Kaguta Museven alisema "African problems need to be solved in African way".Vita dhidi ya ufisadi huwa tunadanganyana hapa Afrika.
Makelele yote hupigwa tu kisa anayepiga hayo makelele hajapata fursa ya kutafuna. Yaani ufisadi upo ndani ya jamii za Kiafrika hadi kwenye misingi ya dini.
Leo gari la kusafirisha hela likianguka na wahudumu kujeruhiwa vibaya, nakuhakikishia hakuna hata mwananchi mmoja atakua na muda na majeruhi. Ni kunyofoa hela kwenda mbele.