Wananchi Wamnyang'anya Polis Pesa Za Hongo

Wananchi Wamnyang'anya Polis Pesa Za Hongo

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723

Abiria waliokuwa wamepanda matatu iliyokuwa ikisafiri Nairobi kwenda Nakuru walishuhudia polisi akila hongo. Walikuja pamoja na kumnyang'anya polisi huyo hela zote alizokuwa amekusanya na kugawa mingoni mwao.
 
Duh ngoma inakua droo, polisi na raia wote wanakua wezi.
 
Na wezi wakubwa je? Send this squad to the ministry of health wafanye kazi....
 
Hapo raia sio wezi.. wameamua kumuadabisha huyo askari.

Vita dhidi ya ufisadi huwa tunadanganyana hapa Afrika.
Makelele yote hupigwa tu kisa anayepiga hayo makelele hajapata fursa ya kutafuna. Yaani ufisadi upo ndani ya jamii za Kiafrika hadi kwenye misingi ya dini.
Leo gari la kusafirisha hela likianguka na wahudumu kujeruhiwa vibaya, nakuhakikishia hakuna hata mwananchi mmoja atakua na muda na majeruhi. Ni kunyofoa hela kwenda mbele.
 
Kaguta Museven alisema "African problems need to be solved in African way".
 
Back
Top Bottom