Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi wake.
Wananchi wanalalamika Mbunge anageuka wakala wa Serikali kuwataka wananchi wake wavumilie maumivu ya tozo.
Je, mbunge huyo anawawakilisha wananchi au anaiwakilisha serikali? Wabunge hao wanapatikana Tanzania tu.