Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Isingekuwa magoli ya mkono ..bungeni term ijayo wangepasikia tuHuyu lazima atakuwa mbunge wa CCM maana wabunge hao siku zote wanawamilisha serikali na CCM na si wapiga kura!
Kwani mliwachagua au Serikali iliwachagua? Acheni kulalama Katiba ndio dawa ya kuondoa Wabunge wa aina hii.Huyu lazima atakuwa mbunge wa CCM maana wabunge hao siku zote wanawamilisha serikali na CCM na si wapiga kura!