Wananchi Wanapenda Mambo Kama Haya Kwenye Kampeni, Siyo Kama Yale!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu.

Picha inaeleza kila kitu hapo chini 👇🏾!.

20220512_183211.jpg
 
Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu.

Picha inaeleza kila kitu hapo chini 👇🏾!.

View attachment 2221862
Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa.
 
Matokeo ya uchaguzi na polisi wapi na wapi! Polisi wanatimiza wajibu wao bila kunyanyasa raia na hicho ndicho tunakosa Tanzania.
 
Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa.

..Tanzania ukatili unaanzia kwenye kuchukua fomu, na unaendelea mpaka wakati wa kampeni, kupiga kura, kutangaza matokeo, na baada ya hapo.
 
Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa.
Unaelewa kinachofanyika au unaelezea matukio baada ya kupiga kura?.
 
Back
Top Bottom