TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 May 12, 2022 #1 Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu. Picha inaeleza kila kitu hapo chini ππΎ!.
Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu. Picha inaeleza kila kitu hapo chini ππΎ!.
Bugucha JF-Expert Member Joined Jan 3, 2020 Posts 3,374 Reaction score 13,922 May 12, 2022 #2 TODAYS said: Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu. Picha inaeleza kila kitu hapo chini ππΎ!. View attachment 2221862 Click to expand... Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa.
TODAYS said: Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu. Picha inaeleza kila kitu hapo chini ππΎ!. View attachment 2221862 Click to expand... Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa.
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 May 12, 2022 #3 Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... Matokeo ya uchaguzi na polisi wapi na wapi! Polisi wanatimiza wajibu wao bila kunyanyasa raia na hicho ndicho tunakosa Tanzania.
Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... Matokeo ya uchaguzi na polisi wapi na wapi! Polisi wanatimiza wajibu wao bila kunyanyasa raia na hicho ndicho tunakosa Tanzania.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 May 12, 2022 #4 Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... ..Tanzania ukatili unaanzia kwenye kuchukua fomu, na unaendelea mpaka wakati wa kampeni, kupiga kura, kutangaza matokeo, na baada ya hapo.
Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... ..Tanzania ukatili unaanzia kwenye kuchukua fomu, na unaendelea mpaka wakati wa kampeni, kupiga kura, kutangaza matokeo, na baada ya hapo.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 May 12, 2022 Thread starter #5 Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... Unaelewa kinachofanyika au unaelezea matukio baada ya kupiga kura?.
Bugucha said: Kenya ipi unazungumzia ww? Subiri wapige Kura alafu matokeo yatangazwe ndio uje hapa. Click to expand... Unaelewa kinachofanyika au unaelezea matukio baada ya kupiga kura?.