Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
✅ Samia Cup – Mpira umegeuka siasa, lakini je, wananchi wanamkubali kwa vitendo au kwa zawadi za muda mfupi?
✅ Cheka na Samia – Hadi vichekesho vina jina lake!
✅ Mama Lishe na Samia
✅ Generation Samia
✅ Kizimkazi Festival
✅ Michango Makanisani na Miskitini
✅ Samia Legal Aid – Haki inapatikana kweli au ni jina tu linalotumika kama chambo cha kisiasa?
✅ Mitungi ya gesi, baiskeli, pikipiki – Kila bidhaa inabeba jina lake! Huu ni uthibitisho wa utawala mzuri au ni mbinu za kisiasa za kueneza jina lake kwa nguvu?
✅ Machawa wa Samia – Mastaa wanamzungumzia kwa hiari au wanalipwa kumsifu mitandaoni?
✅ Madaktari wa Samia – Hata sekta ya afya imeingizwa kwenye siasa, je, hili lina manufaa yoyote kwa wagonjwa?
✅Pesa za miradi za Samia! - Kwani zile kodi zetu si turudishiwe tu maana mama ana hela nyingi za kulisha taifa?
Kama Samia anakubalika kwa dhati kabisa toka moyoni (kwa sauti ya Magufuli) haya yote ya nini?
Unadhani vurugu zote hizi zinamchora Samia kwenye picha gani?
Chawa hakikisha umeshiba kabla hujasogea kwenye uzi huu😂🤣🤣!
Pia, Soma:

- Kwenye michezo yupo!
- Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
- Sekta za afya na sheria yupo!
- Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!