Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi.Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.View attachment 2586205
Muulize kama si yeye, bahati mbaya wakubwa zake wataona ni sawa tu, na kazi iendelee.Huyo ninayemuona ndiyo mwenyewe?
Kalio linakanyagwa na viatu lolWakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
Hawa ni wakatili kuliko panya wanaotuuma miguu tulalapo sisi wenye soksi zinazonuka.
CCM mbele kwa mbeleWakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
Huu nao ni sehemu ya ukatili wa kimaadili.