Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

Hapo walipolala kuna maji na tope hivyo ilibidi daraja la dharula litengenezwe ili bosi avuke, daraja hilo lilibuniwa na injinia huyo mama anayempa maelekezo jinsi ya kukanyaga kulingana na ukubwa au udogo wa hizo chanja.
 
Wote hapo wamedhihirisha Madhara ya kukosa lishe bora wakati wa ukuwaji.
 
Kiongozi wa upinzani angefanya hili wanaccm nchi nzima wangeandamana na muhusika angekamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…