Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Kwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye mfumo wa vyama vingi kama nchi.
Yaani wewe unaona kabisa Tume ya Uchaguzi ni mali ya mmoja wa mwenyekiti wa chama shindani na ni mgombea kwenye uchaguzi na wewe una-kwenda kushindana! ? are u serious?
Tunadhani kuwa tunawadanganya mataifa ya nje (wafadhili) ila kiukweli tunajidanganya wenyewe. Tuache kujihadaa wenyewe! na tunajianika jinsi tulivyo na akili finyu kama ambavyo D.Trump huwa anasema.