Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Kwani kura ndio zinazoamua nani atangazwe mshindi?Hakuna kitu hapo Bora nowape kura chauma
Lazima tufike hatua ya kuithamini kura ya mpigakura. Kwanini tupoteze gharama na muda kufanya igizo lisilo na tija.?Kwani kura ndio zinazoamua nani atangazwe mshindi?
Bei ya kulaza mgonjwa mmoja pale muhimbili ni sh 50000/= kwa siku. Serikali ya ccm inajua na wewe mjinga who unajua. Watanzania wangapi wanakufa pale muhimbili kwa kukosa hii pesa? Wangapi wanasusa maiti pale muhimbili?Msituletee kilio chenu pambaneni na hali yenu
kwa hiyo kuzuia uchaguzi ndio kutashusha gharama ya matibabu?Bei ya kulaza mgonjwa mmoja pale muhimbili ni sh 50000/= kwa siku. Serikali ya ccm inajua na wewe mjinga who unajua. Watanzania wangapi wanakufa pale muhimbili kwa kukosa hii pesa? Wangapi wanasusa maiti pale muhimbili?
Hiki ndiyo KILIO CHA WATANZANIA SASA. KUPANDA KWA GHARAMA ZA MATIBABU.
Siyo kujadili USHOGA BUNGENI
Nani kazuiya uchaguzi? Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vipo pale. Wewe unakomaa na ambaye hashiriki??? Akili zipo sawa kweli.kwa hiyo kuzuia uchaguzi ndio kutashusha gharama ya matibabu?
yaani wewe ni kama jina lako. waliokupa hilo jina hawakukoseakwa hiyo kuzuia uchaguzi ndio kutashusha gharama ya matibabu?
Waache waendelee kujivua Pichu si wanatamani kuzaa na uzuri siku hz hata wanaume wanaolewa.Kwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye mfumo wa vyama vingi kama nchi.
Yaani wewe unaona kabisa Tume ya Uchaguzi ni mali ya mmoja wa mwenyekiti wa chama shindani na ni mgombea kwenye uchaguzi na wewe una-kwenda kushindana! ? are u serious?
Tunadhani kuwa tunawadanganya mataifa ya nje (wafadhili) ila kiukweli tunajidanganya wenyewe. Tuache kujihadaa wenyewe!
Devota Minja nae anawaaga chadema muda huu ndugu zangu makamanda waropokajiKwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye mfumo wa vyama vingi kama nchi.
Yaani wewe unaona kabisa Tume ya Uchaguzi ni mali ya mmoja wa mwenyekiti wa chama shindani na ni mgombea kwenye uchaguzi na wewe una-kwenda kushindana! ? are u serious?
Tunadhani kuwa tunawadanganya mataifa ya nje (wafadhili) ila kiukweli tunajidanganya wenyewe. Tuache kujihadaa wenyewe!
anaondoka mmoja wanaingia Devota Minja elfu moja. what's a profit!!!!!!!!!Devota Minja nae anawaaga chadema muda huu ndugu zangu makamanda waropokaji
ramli na matumaini ya kilofa sana hayo unajipa gentlemananaondoka mmoja wanaingia Devota Minja elfu moja. what's a profit!!!!!!!!!