Wananchi mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli, huku wengi wakionesha kutoridhishwa na mwenendo huo wa bei kuendelea kupaa.
Aidha, wamehoji kauli ya serikali kuhusu kuwepo kwa akiba ya mafuta ya miezi sita, wakitaka kufahamu ni kwanini bei zinaendelea kupanda licha ya uwepo wa akiba hiyo.