Wananchi washusha nondo nzito kupanda kwa bei ya mafuta. Kwa ujasiri huu walipaswa kuwa wabunge tu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wananchi mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli, huku wengi wakionesha kutoridhishwa na mwenendo huo wa bei kuendelea kupaa.

Aidha, wamehoji kauli ya serikali kuhusu kuwepo kwa akiba ya mafuta ya miezi sita, wakitaka kufahamu ni kwanini bei zinaendelea kupanda licha ya uwepo wa akiba hiyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Mchezo wa bao huonekana vizuri ukiwa nje, hata wabunge tulionao walikuwa hivyo hivyo walipokuwq nje ya mfumo.
Walifanikiwa kuwa mfumoni na wameishia kuwa wazee wa ndio na kupiga meza
 
bado kidogo Tlaatlaah atakuita mchochezi na kukuagizia Mafwele
 
bado kidogo Tlaatlaah atakuita mchochezi na kukuagizia Mafwele
acha upotoshaji gentleman,
gharama za nishati ziko juu na hakuna wa kuzishusha katika nyi yoyote ile duniani,

wasiojielewa wanaweza kudhani kuna muujiza wa kuzishusha,
suluhisho la gharama za maisha ni kufanya kazi kwa bidii, full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…