Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wakitapeliwa lawama kwa serikali
Hela zao uwapangie wewe matumizi???!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela zao uwapangie wewe matumizi???!!!
Je,serikali inapotapeli lawama kwa nani?( Michango ya tetemeko,watumishi na ngonjera za kupandishwa madaraja,n.k.)Wakitapeliwa lawama kwa serikali
MangekimambL she's the real soldier.. Hero
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh
Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo
Mfano walio control mind za watu wakatajirika
1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...
Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Je,serikali inapotapeli lawama kwa nani?( Michango ya tetemeko,watumishi na ngonjera za kupandishwa madaraja,n.k.)