Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.

instagram(1).jpg


Mhe._@freemanmbowetz_akiwasili_Mahakama_Kuu_Division_ya_Makosa_ya_Uhujumu_Uchumi_na_Rushwa_Leo...jpg
 
Nikiangalia hao askari wanaomsindikiza Mh. Mbowe, Namkumbuka sana Hamza. Najiuliza sana "Kwa nini aliwahi" leo ndio ingekuwa sawa.
”Dhuluma uwajenga watu na kujipigania ili kuipinga Dhuluma na kuidai HAKI kwa namna yeyote ile, mpaka pale HAKI itapopatikana, na ni swawabu mbele za Allah.”~ Nabii Hamza

”Msikubali HAKI zenu kuporwa na wanaojiita watawala, msiwe TAIFA la watu waoga waoga. Piganieni HAKI zenu mpaka muzipate. Wanaojiita watawala sio miungu ni watu kama sisi ” ~ Mwalimu Nyerere.
 
”Dhuluma uwajenga watu na kujipigania ili kuipinga Dhuluma na kuidai HAKI kwa namna yeyote ile, mpaka pale HAKI itapopatikana, na ni swawabu mbele za Allah.”by ~ Nabii Hamza

”Msikubali HAKI zenu kuporwa na wanaojiita watawala, msiwe TAIFA la watu waoga waoga. Piganieni HAKI zenu mpaka muzipate. Wanaojiita watawala sio miungu ni watu kama sisi ” ~ Mwalimu Nyerere.
Katiba mbovu alituachia Nyerere
 
Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la

View attachment 1919087

View attachment 1919108
Inawezekana kabisa washajua hukumu ya leo ndiyo maana hali iko hivyo.
 
Back
Top Bottom