Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wazungu hawazuilikiHapo sasa, sijui wale wathungu watapenya wapi? Si walikaidi, walengwa si wananchi.
Wazungu hawazuiliki
Geti limefungwa na hakuna mtu wa kumuomba afungue, unafanyaje!Wazungu hawazuiliki
”Dhuluma uwajenga watu na kujipigania ili kuipinga Dhuluma na kuidai HAKI kwa namna yeyote ile, mpaka pale HAKI itapopatikana, na ni swawabu mbele za Allah.”~ Nabii HamzaNikiangalia hao askari wanaomsindikiza Mh. Mbowe, Namkumbuka sana Hamza. Najiuliza sana "Kwa nini aliwahi" leo ndio ingekuwa sawa.
CCM wameishiwa sera kabisa wamebaki na nguvu ya polisiHivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la
View attachment 1919087
View attachment 1919108
Katiba mbovu alituachia Nyerere”Dhuluma uwajenga watu na kujipigania ili kuipinga Dhuluma na kuidai HAKI kwa namna yeyote ile, mpaka pale HAKI itapopatikana, na ni swawabu mbele za Allah.”by ~ Nabii Hamza
”Msikubali HAKI zenu kuporwa na wanaojiita watawala, msiwe TAIFA la watu waoga waoga. Piganieni HAKI zenu mpaka muzipate. Wanaojiita watawala sio miungu ni watu kama sisi ” ~ Mwalimu Nyerere.
Inawezekana kabisa washajua hukumu ya leo ndiyo maana hali iko hivyo.Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la
View attachment 1919087
View attachment 1919108
Nchi ya ovyo sana hiiHivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
View attachment 1919087
View attachment 1919108
nchi ya hovyo hovyo sana
hamia jupiter