Wananchi wilaya ya Kasulu wanarejeshewa fomu zao za NIDA

Nadhani ujumbe wa thread yako uko hapa, lengo ilikuwa kumchoma jamaa ila umeona uanzie mbali.
 
Kwenye Serikali Yangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi Nitasema Makavu Makavu Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 😅😄😃😂😁
 
Unacho kisema Nikweli Mkuu! Mifano iko mingi Unapo toka Kigoma kwenda Mikoa mingine ukifika Wilaya ya Uvinza Basi linapigwa stop Uhamiaji wanaomba vitambulisho utadhani wilaya mlizo toka zipo Nje ya Tanzania! Lakini Wanao toka Mikoani kuingia Kigoma hawaombwi vitambulisho!
 
Ila tatizo lenu nyie waha ni wabishi sana badala ya kutoa ushirikiano kwa maafisa wa uhamiaji nyie mnabishana nao mwisho wa siku fomu zenu zinapigwa alama maalum
We Bhana sijui utakuwa una akili ya namna gani! Una maananisha wanaoishi kigoma wote ni Waha?!
 
Suruhisho ni mkoa wote wa Kigoma kujiondoa kwenye JMT na kuunda utawala wa Buha kama iliyokuwa zamani, Hakuna namna mtu anaweza kulazimisha kuwa waha ni warundi au wanyarwanda!... Hizo ni koo tatu tofauti kabisa.
 
Utawala unawaonea sana watu wa kigoma.
 
Hata Mimi nimeshakutana na huo ujinga....afisa uhamiaji anaanza kusalimia abiria usipoitikia salami unashushwa unaombwa vitambulisho,Mara uoneshe ndui vitu vya kipumbavu kama watu wa kigoma hawana haki na hii nchi.
 
Pole sana Mkuu! Hawa Jamaa wana komaa na kigoma tu utadhani ndo Mkoa pekee ulio pakana na Mataifa ya Kigeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…