CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Kutokana na aina ya siasa mbadala kuwa ya level hii, ndio maana sisi wengine tunaamini kuwa pamoja na changamoto zote, bado CCM ni chama chenye uafadhali sana kilichowaacha wengine kwa mbali sana.
Naona kuna ya CCM moja na ACT zipo kama 10 hivi. Siasa ya bongo ya kipumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pamoja na kadi "kutanuliwa" ili angalau zikaribie 45 bado zimegoma! Mleta mada umetimiza wajibu wako wa kikatiba, hahahahah!
Na simu ya TOCHI hujaiona mkuu! π€£π€£Naona kuna ya CCM moja na ACT zipo kama 10 hivi. Siasa ya bongo ya kipumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo kadi mbona zote ni mpya?!!!!View attachment 1500625#HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF
Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF.
Aidha wananchi hao wamesema kuwa mkoani Lindi wana imani na Chama Cha CUF kwani wanaamini ndiyo mtetezi wao sahihi na sio vyama vingine.
#2020KILWATENA.
HahahaNa simu ya TOCHI hujaiona mkuu! [emoji1787][emoji1787]