Wanandoa hili nalo vipi?

Wanandoa hili nalo vipi?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa!

Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea.

Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
 
Hii hali hotokea wengi hasa wakishazaa wanajikataa yani hawajipendi tena.

Pia kuna wanawake wengine hawajipendi na ni wachafu wapowapo tu.

Hii pia moja ya sababu ya wanaume kuchepuka.
 
Siku nyingine mke analala bila kuoga kasheshe muda wa kulala ndani ya shuka kutanuka shombo kama ya samaki si samaki kama vile mpo soko la ferry
 
Back
Top Bottom