Wanandoa hili nalo vipi?

Wanandoa hili nalo vipi?

Unakuta kipochi kinanuka ukiuliza ugomvi. Unaishia kula hivyo hivyo ili mradi usiibue varangati!
Jilaumu ww Kwa kutokuwa muwazi Kwa mkeo mm kipochi kikitoa harufu mbaya Tu namwambia akaoge vizurii wala sijiulizi mars mbili na mechi haiendelei tna
 
Izo ni kampeni tu apate bwana ila wakiolewa wakizaa utapenda wananuka maziwa kama masai magauni yananuka moshi kama wachoma mkaa
Nimecheka Kwa sauti hatrii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa kifupi tu ni kwamba
WAUME WA NDOA HUWA HAWAWATUNZI WAKE ZAO
Hamna cha waume wala nn kama mtu si msafi si msafi Tu mtu anayejipenda lazima alale Kwa kuoga lazima anyoe mavuzii pindi yakianza kuchanua Tu lazima avae nguo Safi baada ya kumaliza majukumu ya kikazi ata kama si nguo mpya basi iwe Safi ata Ayo ni ya kuambiwa kufanya unasingizia Mme hakununulii nguo wakati ata ulizonazo hazijawai kuwa Safi
 
Huyo anakuwa hana usafi wa asili ila ana usafi wa kubeep
 
Usafi na uchafu nayo ni tabia, nashangaa wanaume wanavyosema wanawake uchafu, kama wewe anakufulia nguo na kukutengea maji ya kuoga kwanini usimwambie na yeye aoge! Wanaume mnausafi gani mke anamajukumu mia kidogo nyumbani anaoga sawa na jikoni anaingia unategemea harufu ya perfume itakuwepo? Kwanza wengi wenu hata kuwanunulia vipodozi hamnunui
 
Usafi na uchafu nayo ni tabia, nashangaa wanaume wanavyosema wanawake uchafu, kama wewe anakufulia nguo na kukutengea maji ya kuoga kwanini usimwambie na yeye aoge! Wanaume mnausafi gani mke anamajukumu mia kidogo nyumbani anaoga sawa na jikoni anaingia unategemea harufu ya perfume itakuwepo? Kwanza wengi wenu hata kuwanunulia vipodozi hamnunui
Kwani mkiachika nani anawanunulia hivyo Vipodozi...Mnashindwa kushawishi Waume zenu,Mnashawishi wapita njia...Mtu mchafu ni mchafu tu,Hizo saba bu zote hazina mantiki ni Kubadilika tu.
 
Shida kwa wanaume,mwanamke akivaa vizuri mara anaambiwa unavaa kihuni utaniabisha kwenye jamii,akiachka akavaa hivo inakua pisi kali..
Ili muradi WANAUME HAWARIDHIKI! KILA AKIFANYANYACHO MWANAMKE NI KIBAYA
 
Hii ni kauli yangu ambayo huwa asema maranyingi sana wanawake wanaakili kabla ya kuolewa ila wakishaolewa tu hawana akili. Samahan msinichukulie vibaya.
Mwanamke akiwa peke yake anajituma maradufu na anakuwa na mipango ming yenye utekelezaji maana hana mtu wa kumlisha zaid ya kujilisha mwenyewe. So akiachika ama akiwa alone lazma aji brand aonekane tena ili apate soko. Akishapatikana hataki kuhangaika kama weng wao jinsi wanasema
HILO HALINA UBISHI MKUU UPO SAHIHI KWA 100%
 
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa!

Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea.

Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
Haha
 
Back
Top Bottom