kazi aliyosomea yeye,siyo aje aanze kuwa mlinzi wa H&M,kazi gani kwako zinafaa ambazo ungetaka mumeo afanye???? maana hapa naona swal si mumeo kja huko bali ni aina ya kazi anayofanya!!!!!!
Noted,thanksPole sana mwaya!
Kwavile kwa namna yoyote huwezi kuishi huko milele,
Nakushauri rudi kwa mmeo,ukizingatia lengo lilikuwa kwenda kusoma na si kusoma na kufanya kazi huko,
Na km ana kazi yake ya kueleweka huku nawe umesoma,rudi uishi na familia yako na kazi utapata tu na kuishi kwa amani.
Ahsante for the wordsDah, Pole sana.
Ndoa ni muhimu kuliko kazi na hayo maslahi mengine.Hivyo kama amekataa rudi tu nyumbani mjenge familia.
Kumbuka mliagana kwamba unakwenda kusoma na akakubali kuvumilia.
NB:Kama unaweza rudi bongo mara moja muonane ana kwa ana inaweza saidia kumonvisi.
Nimekupata,Notedsi urudi nyumbani utafute kazi huku?naona shetani anakunyemelea na unataka uhalali toka kwetu
Anataka kweli nirudi,Thank God hajanipa option eti kama sitaki basi nibakiMama rudi no way out. Na ukiona kauchuna na kukupa option kuwa wewe amua jua yuko anamega kitu ingine.
That is another case,thanksHivi mara unarudi halafu unakuta umeshatafutiwa msaidizi itakuaje???
Rudi lakini mwaya,mume mtamu.....:wink1:
Mshauri kwa upole na utaratibu umuhimu wa wanandoa kukaa pamoja na pia kumuelewesha mipango yako mizuri ya kumsaidia kupata kazi nzuri yenye kipato kizuri kwa maslahi ya familia yenu.
Binafsi siungi mkono kabisa hoja ya wanandoa kukaa mbali mbali maana hiyo pia huwa inachangia sana wahusika kutembea nje ya ndoa.
Kila la kheri.
HP
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work permit.Sasa ngoma mme wangu amekataa kunijoin hata mimi namsupport since sitaki afanye kazi ambazo kwangu mimi hazifai.Sasa nifanyeje mwenzenu mie
ThanksRudi nyumbani ujenge taifa lako pia ujenge familia yako na mwenzako!
Noted,watoto ninao huku,any way sina jinsi ngoja nipack nirudi home.Hapo ndo naamini mwanamke ndo anatakiwa amfuate mme.Pangeni maisha yenu, fanya kazi kwa mwaka au miaka miwili upate experience alafu urudi Africa. As you wait anaweza kuja na watoto kukaa na wewe (bila kufanya hizo kazi unazo ziona hazimfai ) au anaweza kuanza kuandaa maisha yenu huko Africa.
Yaani kwa kweli sijui nifanye nini,kasema mke ndo anatakiwa amjoin mme,I have my permit ya kuishi na family,a house.BUT I HAVE TO LEAVE AND GO BACK TO TANZANIA TO STAY WITH MY HUSBAND,Maisha haya jamani
Kuna kaukweli ninarafiki yangu mme wake ni PhD holder huko kwao alikuwa lecturer,sasa kamjoin mkewe imekuwa ngumu kupata kazi ya profession yake,Rafiki yangu tunafanya wote yaani inabidi ampe mmewe mshahara wote,ili mumewe asijifeel vibaya na kukumbuka alivyokuwa Boss kwao,but with all huyu baba kapungua sana i think he is not happy.Sitaki yampate mme wanguHilo ndo la muhimu. Lakini yeye atakuja kufanya nini? Maana kusema ukweli kama na yeye ni professional, hangependelea kuona anaishia uchochoroni tu. So for the one you love, convince him na lazima kuwe na pla in place ya yeye atakuja kufanya nini. Asije kuishia kuwa yaya wa kulea watoto. Wanaume wengine hawapendi kuitwa maliyoo