Wanandoa kuishi mbalimbali

Wanandoa kuishi mbalimbali

kazi gani kwako zinafaa ambazo ungetaka mumeo afanye???? maana hapa naona swal si mumeo kja huko bali ni aina ya kazi anayofanya!!!!!!
 
Pole sana mwaya!
Kwavile kwa namna yoyote huwezi kuishi huko milele,
Nakushauri rudi kwa mmeo,ukizingatia lengo lilikuwa kwenda kusoma na si kusoma na kufanya kazi huko,
Na km ana kazi yake ya kueleweka huku nawe umesoma,rudi uishi na familia yako na kazi utapata tu na kuishi kwa amani.
Noted,thanks
 
Dah, Pole sana.
Ndoa ni muhimu kuliko kazi na hayo maslahi mengine.Hivyo kama amekataa rudi tu nyumbani mjenge familia.
Kumbuka mliagana kwamba unakwenda kusoma na akakubali kuvumilia.

NB:Kama unaweza rudi bongo mara moja muonane ana kwa ana inaweza saidia kumonvisi.
Ahsante for the words
 
Mshauri kwa upole na utaratibu umuhimu wa wanandoa kukaa pamoja na pia kumuelewesha mipango yako mizuri ya kumsaidia kupata kazi nzuri yenye kipato kizuri kwa maslahi ya familia yenu.
Binafsi siungi mkono kabisa hoja ya wanandoa kukaa mbali mbali maana hiyo pia huwa inachangia sana wahusika kutembea nje ya ndoa.
Kila la kheri.
HP

Hilo ndo la muhimu. Lakini yeye atakuja kufanya nini? Maana kusema ukweli kama na yeye ni professional, hangependelea kuona anaishia uchochoroni tu. So for the one you love, convince him na lazima kuwe na pla in place ya yeye atakuja kufanya nini. Asije kuishia kuwa yaya wa kulea watoto. Wanaume wengine hawapendi kuitwa maliyoo
 
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work permit.Sasa ngoma mme wangu amekataa kunijoin hata mimi namsupport since sitaki afanye kazi ambazo kwangu mimi hazifai.Sasa nifanyeje mwenzenu mie

Rudi nyumbani ujenge taifa lako pia ujenge familia yako na mwenzako!
 
Pangeni maisha yenu, fanya kazi kwa mwaka au miaka miwili upate experience alafu urudi Africa. As you wait anaweza kuja na watoto kukaa na wewe (bila kufanya hizo kazi unazo ziona hazimfai ) au anaweza kuanza kuandaa maisha yenu huko Africa.
 
Pangeni maisha yenu, fanya kazi kwa mwaka au miaka miwili upate experience alafu urudi Africa. As you wait anaweza kuja na watoto kukaa na wewe (bila kufanya hizo kazi unazo ziona hazimfai ) au anaweza kuanza kuandaa maisha yenu huko Africa.
Noted,watoto ninao huku,any way sina jinsi ngoja nipack nirudi home.Hapo ndo naamini mwanamke ndo anatakiwa amfuate mme.
 
Yaani kwa kweli sijui nifanye nini,kasema mke ndo anatakiwa amjoin mme,I have my permit ya kuishi na family,a house.BUT I HAVE TO LEAVE AND GO BACK TO TANZANIA TO STAY WITH MY HUSBAND,Maisha haya jamani

Huu ndio uamuzi bora kabisa rudi bungo uishi na watoto wako na mumeo, kwa elimu yako huwezi kukosa kazi nzuri bongo kuliko mumeo mkamtafutie kazi ya kufyeka bustani ulaya.
 
Hilo ndo la muhimu. Lakini yeye atakuja kufanya nini? Maana kusema ukweli kama na yeye ni professional, hangependelea kuona anaishia uchochoroni tu. So for the one you love, convince him na lazima kuwe na pla in place ya yeye atakuja kufanya nini. Asije kuishia kuwa yaya wa kulea watoto. Wanaume wengine hawapendi kuitwa maliyoo
Kuna kaukweli ninarafiki yangu mme wake ni PhD holder huko kwao alikuwa lecturer,sasa kamjoin mkewe imekuwa ngumu kupata kazi ya profession yake,Rafiki yangu tunafanya wote yaani inabidi ampe mmewe mshahara wote,ili mumewe asijifeel vibaya na kukumbuka alivyokuwa Boss kwao,but with all huyu baba kapungua sana i think he is not happy.Sitaki yampate mme wangu
 
hapo una kazi ya ziada,
ina maana huyo jamaa hajapata demu kweli,
je utapona marazi kama hakujiheshimu.
but amua mwenyewe, wewe si ndo mwenye ndoa yako.
 
Akupe CV zake na umtafutie ajira labda atakubali kuja..anaogopa kuwa golikipa
 
Kwani ulivokuwa unaondoka mlikubaliana nini??? Kwenda kusoma na kurudi au kulowea hukohuko?? Kama mumeo alikuruhusu uende masomoni na kisha urudi...huoni kama utakuwa unamkosea kumlazimisha afungashe virago kukufuata huko?? Na basi kuwapi KUMTII MUME WAKO???? Au ndo kusoma tayari kwisha kupa kiburi na ili akija huko ughaibuni ndo umgeuze Hausi boi??? Heshimu ndoa yako na UMTII MUMEO ili akupende zaidi!!! Na huko ulaya kwani ndo mbinguni?? Mbona maisha ya huku ni bomba kuliko huko?? Ma stress kibao!!! Ningekuwa mumeo ningekuruhusu uendelee kukaaa huko huko...Uje tu likizo unapojisikia mwenyewe!! Ulaya siendei ng'o!! Heri nile mchicha wa hapahapa msimbazi......
 
usiogopee kazi na maisha siyo ulaya tu, kwanza ulienda kusoma hiyo opportunity ilipresent tu baadaye.
elimu yako unayo na nafikiri u can do better with it hata tz ,go back to ur country and join ur family ,kwanza watakuwa wamekumiss.
 
Back
Top Bottom