Kuna mbaba flani alifungwa miaka miwili kurudi akamwambia mkewe tukapime manake huko gerezani walikuwepo wagonjwa madonda nje nje kumbe hii ilikuwa janja ya nyani as jamaa alijasema alishangaa kumkuta mkewe amekonda kuliko yeye aliyekuwa jela.
wewe mkaka nimekumiss sanani mchezo tu kama ule wa cheni ya bandia na pesa feki.........................
Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then akirudi wapime kwanza HIV. Naomba nilisisitize hili. mtu asiniulize kwanini maana mnaona wenyewe dunia ya sasa ilivyobadilika, na athari za gonjwa hili.
Kwani kuukwaa lazima awe amesafiri? Kama ni hivyo nafikiri sasa ni vyema vibuniwe vipimo ambavyo vitafungwa kama Camera kwenye mlango wa kuingia chumbani then ukiwa umeathirika tu alarm inalia.Ni kweli wanaosafiri safiri sana wako hatarini lakini wasiosafiri wanchakachua kwa sana tu sasa si mtawaonea hawa wanaosafiri na kujidanganya ninyi msiosafiri for a long time kuwa mpo salama? Kwakuwa kipimo hiko hakipo bac kila mmoja aelewe hali ni mbaya na maisha hayana mbadala hivyo...... Akili Kichwani.....
Hivi HIV inaabukizwa kwa miezi mitatu?
inachagiza kutoka acha unafkisidhani kuwa mbali na mwenza ndo kigezo cha kutoka au kuwa na mahusiano zaidi ... hii ni tabia na hulka ya mtu hata kama kila dakika mko nae anaweza kufanya atakalo kwa dk 5 ni nyingi sana kwa fisadi wa mapenzi
sidhani kuwa mbali na mwenza ndo kigezo cha kutoka au kuwa na mahusiano zaidi ... hii ni tabia na hulka ya mtu hata kama kila dakika mko nae anaweza kufanya atakalo kwa dk 5 ni nyingi sana kwa fisadi wa mapenzi
Duh!..Unamaanisha?maisha ya sasa,bora uwe single tu.hamu ikikujia unatafuta vya plastic,unajipa raha mwenyewe
aaah,mbona umeshaelewaDuh!..Unamaanisha?