Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha ya sasa,bora uwe single tu.hamu ikikujia unatafuta vya plastic,unajipa raha mwenyewe
good idea........ sasa sijui ile latent phase itakua addressed vipi
Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then akirudi wapime kwanza HIV. Naomba nilisisitize hili. mtu asiniulize kwanini maana mnaona wenyewe dunia ya sasa ilivyobadilika, na athari za gonjwa hili.
Hii mada inatugusa wengi ila kwa kweli kina dada ama wake ni nadra sana kucheat wether wamesafiri au wamestay home