Wanandoa kupima HIV baada ya kurudi toka safari

Aisee ni muhimu tatizo unaanzaje kumwambia?
Nafikiri utaratibu huo ujengwe kabla hamjaoana ili ndani ya ndoa ionekane ni jambo la kawaida.
 
tatizo ni kuwa vipimo vinatia shaka katika ndani ya kipindi cha wiki mbili tangia kuambukizwa...............................kwa hiyo bado kuna utata kama vipimo hivyo vinasaidia ingawaje kwenye hatua za awali kuambukizwa uwezekano ni kidogo kutokana na viral volumes laden with vvu is also small....................
 
maisha ya sasa,bora uwe single tu.hamu ikikujia unatafuta vya plastic,unajipa raha mwenyewe

Jamani hiyo maneno sio nzuri kabisaaaa kutenda kwani hamna vitu natural!!!!!
 
Ndio tatizo la kukimbilia kuowa kabla hujamaliza ujana.
 
good idea........ sasa sijui ile latent phase itakua addressed vipi

MTM unakumbuka ile thread ya DNA .......kuna mtu aliilinganisha na kupima UKIMWI kwa wanandoa na ujumbe mkubwa uliokuja ni kuwa anayemwambia mwenzake wakapime anawasilishha ujumbe wa Sikuamini!! Ni wazo zuri thou
 

Kweli kabisa maneno yako, sijui ni mie tu au wengine pia hata nikiwa nimepima leo nikienda kupima tena yani tumbo la kuharisha na uwoga nilokua nao sio mdogo, sio kama siamini ila najiuliza haya kama huyu Mume ndio keshaniletea si nazimia kwanza halafu ndio hapo mwanzo wa kua na BP zisizokwisha,mmmh Mungu atunisuru waja wake manake sukari ishaingia ruba......
 
Hii mada inatugusa wengi ila kwa kweli kina dada ama wake ni nadra sana kucheat wether wamesafiri au wamestay home

Kweli ila kina nani vile ndio wanaweza kucheat? ebu malizia basi hadi raha ebu sema kinana vile?.....
 
Mwanamke mpaka ucheat inataka moyo na ujasiri mkubwa, wapo ila sio kama wanaume, na wangeweka sheria ya kupima kila warudipo safari??? watu wangehama nyumba
 
kiuaminiana ni jambo muhimu sana na kuheshimiana mengi ni menguneyo tu tujaribu kumjua Mungu natufuate amri zake yote yawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…