Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
 
Kama wana mudu matunzo wazae wazae tena
 
Wee sii ndio ulikuwa unalalamika kiwa hamuolewi...sasa wee bania mbususu wenzio wanatoa daily ndio maana wapo kwa ndoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rafiki yako akikutana na hii posti atajigundua ni yeye na atakugundua ila atakumind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…