Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Nishamjua huyo demu.. sema suu nimtaje
 
Atakuwa mpemba huyo maana mpemba kila baada ya swala anarudi nyumbani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Sio wanapendana, wanapenda sana kutiana
 
Ww umewahi kuzaa?
 
giphy.gif
 
Kama wana uwezo wa kuwatunza hao watoto wacha tuu wazaliane mkuu, sio mbaya
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Mungu alishasema enendeni duniani, mkazaane mkaijaze dunia, sasa wewe unataka waogope nini hasa?

Wewe kwenye familia yenu mmezaliwaliwa wangapi? anza kwanza kujichunguza kwenu.

Kwanza hao 6 ni wachache inatakiwa angalau watoto 10, ni utajili mkubwa.
 
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Ni vema kumuelimisha uzazi wa mpango,na tatzo hapo sio kupendana Sana Ila ni ukosefu wa elimu ya uzazi
 
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.

Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.

Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.

Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Sikutegemea remarks za aina hii toka kwako maana huwa nakuaminia leo Imani yangu kwako imepungua nusu, kwamba sura na shape ya mtu ni kipimo cha ukubwa wa penzi? Maana umeanza kwa kumshusha mwenzio viwango vya uzuri bila shaka ulitegemea kwa vile sura yake mbaya apendwe kidogo na kinyume chake kwamba mzuri wa shape apendwe zaidi...haya mawazo naamini sio yakwako labda kama kichwani zilikuwa zimezidi vipimo yaani ni mawazo ya pombe ulizokunywa na sio mawazo yako mwenyew ukiwa na uzima wako. Maana wewe mwenyew kwa umri wako tayari una ushuhuda wa sura nzuri kama malaika ambao kwao kupendwa wanakusikia redioni na kukusoma mitandaoni na una ushahidi wa sura "hiyo" mbaya inayopendwa na kupendwa tena, hivyo hakuna mahusiano kati ya kupendwa na umbo la mtu, kutamani sawa Ila kupenda hapana, labda kama unataka turudi kwenye elimu ya awali tuanze kufundishana kupenda ni nini. Pili, ni mawazo potofu kuamini kuwa kupendana na kuzaana vinahusiana moja kwa moja kwani ziko ndoa zimesimama haswa mume na mke wanapendana sana na hawapati mtoto miaka sasa na wanapimwa hakuna mwenye shida na wakati huohuo wapo wanandoa ni magomvi na vurugu kila siku ndani hayaishi lkn wakikutana tu tayari mimba hiyo, mpaka mwingne kwa sababu hampendi mwenzake mpaka akanywe alewe chakali ndo aweze kulala nae, lkn mimba inashika hivyohivyo na ulevi wake. Kwa hiyo, hao wanandoa wawili huwezi kuwaambia wapunguze upendo ili wapunguze kuzaa utakua labda unalako jambo, upendo ndiyo moyo wa ndoa, ukikoma na ndoa inakoma, inabaki picha ya ndoa na sio ndoa halisi., Watoto pia ni baraka kutoka kwa Mungu, sio kila anayetaka kuzaa anazaa atakavyo, muhimu wawazae kwa mipango na njia zipo za asili na kisasa kuwawezesha kufikia hapo Ila sio kusema wanazaa kwa sababu ya kupendana na wanapendana wakati sura zao mbaya, watake radhi kwanza kabla ya kunijibu.
 
Jamani nisamehe umenielewa tu vibaya mkuu.nilitaka tu kutoa picha flani
Huyu dada ni rafiki yangu na ninampenda mnooo
 
Back
Top Bottom