Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Unawivu aisee mbona ndio maisha mazuri hayoKuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.
Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.
Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.
Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Nipe mimi mremboNjoo nikupe
Mpunguze speedKwa hiyo umeona uje uniseme huku? Sio poa aise sasa ulitaka tusizae wakati Mungu ametutuma kuijaza dunia. Na kwa taarifa yako Mimba unayoiona ni mapacha 6!
[emoji23][emoji23]Acha wazae elimu ni bure, wanatuongezea rasilimali watu
Umeanza umbeya.Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.
Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.
Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.
Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Si hawana hela
Sifa ya sisi masikini ni.kukesha viunoni....
Mwendo wa mimba tu!
Maana ya umaskini ni nini?? Kama mtu ana nyumba na gari sidhani kama anafaa kuitwa maskini,Si hawana hela
Sifa ya sisi masikini ni.kukesha viunoni....
Mwendo wa mimba tu!!!!
Mimi Ni a dada yangu wao kinyume na Hawa watu wako,kila siku wao Ni Ugomvi mzito Hadi vikao vya ndugu na wachungaji,kila siku bibie kurudi nyumbani Ni kutwa kutukanana,Cha ajabu kila siku ana mimba!!huwa najiulizia sipati jibu Hawa wanafanyaga saa ngapi Hadi mimba?Wana kichanga Cha miezi minne Cha tano.
Labda Aisee maana huwezi kuusemea Moyo,Ila atakuwa ana ujanja Sana, maana watoto Ni copy right na mumewe na jamaa humwambii lolote kwa watoto wakeItakuwa hao wanaosuluhisha ugomvi ndio wanamtia mimba dada yako
Hao yawezekana ujanani walijitunza sana. Sasa wanafidiaKuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.
Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila wanapendanaaa hadi wanapendana tena.
Changamoto Sasa looh wanazaa Hao. Napenda sana watoto ila maisha haya jamani Kuna mtu anazaa watoto sita??.
Kila siku Wana mimba yaani .Leo.nimemzoom Ana mimba tena nikashtuka .Kuna watu hawaogopiiii
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.