Wanandoa mnijibu

nini nafasi ya zile solemn vows mlizokubaliana na kuji-commit wakati mnafunga ndoa au huwa ni mashairi tu yasiyokuwa na maana?
 

Nimeipenda mamito pokea like zangu zisizohesabika
 
Last edited by a moderator:

Hapo umemaliza hata cha kuongezea sina!! Well done, kwa mnaochokana kwenye mahusiano au ndoa zenu huu ni ushauri mzuri sana!!
 
nini nafasi ya zile solemn vows mlizokubaliana na kuji-commit wakati mnafunga ndoa au huwa ni mashairi tu yasiyokuwa na maana?

Hapa hatuangalii maamuzi na hujaamua kumsaliti au kumtaliki mwenzio, nazungumzia hisia zaidi.
Kwamba what do you do ukijikuta huna hisia chanya zozote dhidi ya mwenzio?
Au how do you rekindle the fire that led you to take those vows?
Tusaidiane kwa sababu wengi hufika hapa ILa wengi hawajitambui mpaka mambo yawe mabaya kabisa ama wanaojitambua wanaficha.
 
Riwa umeongea vizuri lakini ingekuwa rahisi hivyo ndoa nyingi unazoziona leo zisingekuwepo wakati mwingine yanapotokea haya unakuta ni upande mmoja una tatizo upande wa pili unaona una kila haki ya kugombania anachokiamini ...lakini amini usiamini mengine huwa ni mapito ikija ile baby come back ya MJ1 basi penzi lake huwa tamu kama ndio mnaanza mapenzi.We have to give everything time and space kupata majibu yaliyo sahihi haitojalisha muda gani wengine it might take mwaka,miaka 2 miezi inategemea.

 
Nipo kwenye ndoa ila nitakuja kukujibu baadae ....

Jibu tu Madam FirstLady au ya kwako imekaa kisiasa zaidi- Kwamba wewe na mheshimiwa mnajifanya hadharani mko so dipu in lavu halafu mkifika ndani kila mtu na lake?
 
Maisha yetu ya sasa ni matokeo ya maisha tuliyoishi siku zanyuma.Kama kabla ya ndoa ulikuwa na mtandao mkubwa wa kimapenzi,ukiingia kwenye ndoa utakuwa na wakati mgumu sana kuwa na mpenzi mmoja.Hilo likitokea utatafuta sababu za kusema nimemchoka.Naturally wanadamu tunapenda vitu tofautitofauti,tatizo la siku hizi wengi wanaingia kwenye ndoa bila kuwa na elimu ya kutosha kuhusu mambo ya ndoa na wanandoa.Ni kweli mtu anamchoka mtu au ni fikira zake amezitune hivyo?Test hii,umemchoka kweli?Uko tayari kushea na mtu huku ukijua unashea na usiwe na wivu?"The grass always looks greener on the other side."
 
Polee ni hali ya kawaida hiyo
mke/mume ni kitu ambacho unakipenda sana na mnapoanzana mnataka kuwa karibu na kila mtua jue hamuoni aibu kufanya vitu vyovyote pamoja ikiwa pamoja na kuoga hapa mapenz ni motomoto, na kwa gharama yoyote ile hutamani kukaa mbali na huyo mke/mume wako wala hutaelewa hata mtu akikwambia habari mbaya kuhusu huyo umpendaye wakati huo.
Wakati ni ukuta ukigombana nao utaumia, namaanisha muda unasiri zake kwenye maisha yetu na anayegundua kuuheshimu muda na kuutumia vizuri basi huyo mtu hatajuta wala hatapata shida maishani mwake kwani saa sita mchana ya leo tarehe 27/07/2012 haitakuwa sawa na saa sita mchana ya kesho au j2 ijayo au siku ingine yyeyeote duniani.
Utumie muda wako ipasavyo na mwenzi wako kwani ikipita leo hutapata nafasi tena ya kurekebisha yaliyotakiwa kufanyika jana na ukilazimisha kubananisha ya jana na leo looooh! jibu utaliona mwenyewe.

niliyosema hapo juu nisawa na mfano huu,
Ukinunua blackberry yako mpya aina ya torch au ipad3 ya apple hutataka mtu mwingine aiguse kwa maana ya kuhofia kuiharibu kwamaana hutaweza mdai ailipe au unajua hawezi kukupatia kama hiyo, hutataka kukaa mbali na kifaa chako kipya hicho na utatumia muda mwingi iwezekanavyo kukijua zaidi hicho kifaa ili iwe rahisi kukitumia na kikipata shida tuu utaaga hata kazini kukihudumia kipone au kirudi hali yake ya kawida. Na kunamuda inafika unakizoea hiki kifaa(simu) na hata unaweza muachia mtoto wako akaitumbukiza kwenye maji wala haikupi presha yaani sio kipya tena ila ili ukithamnini waweza nunua new cover, ongezea memory card etc ili ukirejeshee upya na kukipenda kwa upya tena.

So ongeza maujanja ndoa iwe mpya tena, vunja ukimya kwani naye ana hali kama uliyonayo wewe ukingojea yeye aanze kuvunja ukimya oohooo isijekula kwako.

Hii ni kawaida na ukiniuliza kwa nini huwa inatokea hv hata mie sjui ila najali sana muda hasa kwenye ndoa yangu hata muda wa kutatua tatizo unatakiwa kuujia ni wikend, au holoidays au usiku au asubuhi.... it depends to ur marriage.
 
Asante sana dada sakapal ila FYI: mimi sijafika huko kwenye kuchokana, mie mgeni tu kwenye huu uwanja sasa nataka kujua as much as posible ili niwe na control mahusiano yangu.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…