Wanandoa na usingizi . . . . .!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Nimekutana na mjadala huu mahali.Katika mjadala huo mjadala ulikuwa,je baada ya kufunga ndoa ni wakati gani ulikua unapata usingizi mzuri usiku? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Je kabla ya ndoa au baada?Na ikatokea ukaulizwa je baada ya ndoa unataka uwe unalala kitanda tofauti au kimoja na mke/mume?(Ila kama ni tofauti utakapo hitaji haki ya ndoa unaweza kumfuata mwenzio kisha ukarudi kitandani kwako)Kutokana na majibu yalivyotolewa ilionekana umri ulichangia kuamua misimamo ya wachangiaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Wale walioonekana vijana zaidi(ndoa zisizokuwa na muda mrefu)walionekana kuufurahia na kudai wanapata usingizi mzuri zaidi baada ya ndoa na wasingependa kutengana na wenzi wao kitanda.Mambo yalikua tofauti kwa watu wazima,wao walionekana kupenda utengano wakati kulala. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Sijajua ni kwanini umri umeonekana kigezo,labda kuna kuchokana au mvuto kuwa juu sijui.Vijana na wazee wa JF mlio kwenye ndoa maoni yenu yako vipi?
 
Sipendi kulala na mtu, sipendi kulala nimekumbatiwa maana nahisi kubanwa. (sijui itakuwaje). Lol!
Ngoja wenye ndoa watupe mauzoefu.
 
Sipendi kulala na mtu, sipendi kulala nimekumbatiwa maana nahisi kubanwa. (sijui itakuwaje). Lol!
Ngoja wenye ndoa watupe mauzoefu.

Afanaaleki!!Nenda kasomee usista aisee!
 
ni wazi umri ni kigezo muhimu katika suala hili linalohusu tendo la ndoa coz as you grow old the frequency goes down. Sasa kwa kulala na mke/mme ambae hamfanyi lolote usiku hata kukumbatiana hamna, inafaa nini kulala pamoja. si afadhali ulale mwenyewe kitandani ujimwage? Mnapokuwa wachanga kwenye ndoa mnafanya mapenzi mara kwa mara so mngependa kulala pamoja kitandani lakini umri unavyokwenda naona kama kero tu ku-share kitanda, mwenzako anakubana bana!! mara anakoromana udenda unamtoka!! usingizi ukipaa ndo balaa!! Jamani, mlio wachanga kwenye ndoamfanye mapenzi mara nyingi inavyowezekana sababu mkishazeeka hiyo ni historia tena!! mapenzi mara moja baada ya 3 months. na hapo wala hakuna mmoja wenu anaeumwa!! lol!
 
binafsi cjaoa...ila baada ya kupiga mzigo na shemeji yenu mtarajiwa napendelea kila mtu na kitanda chake ndo napata usingizi murua...
 
Last edited by a moderator:
binafsi cjaoa...ila baada ya kupiga mzigo na shemeji yenu mtarajiwa napendelea kila mtu na kitanda chake ndo napata usingizi murua...

Kuoa sio mpaka muende kwenye zile nyumba,huyo ni mkeo!
 
umeona eeh! Kulala mmekumbatiana ni kero kwakweli.

Kweli watu wanatofautiana,nilishaambiwa usiponikumbatia sipati usingizi we nikumbatie tu nikisinzia basi unaweza kuniachia kama unaona nakukera,na kila nikijaribu kugeuka kabla hajasinzia naulizwa mbona umeniachia bwana.....
 
Reactions: BAK

Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana!!
 
Kweli watu wanatofautiana,nilishaambiwa usiponikumbatia sipati usingizi we nikumbatie tu nikisinzia basi unaweza kuniachia kama unaona nakukera,na kila nikijaribu kugeuka kabla hajasinzia naulizwa mbona umeniachia bwana.....

MMMH st.paka mbona nimeanza kupata wasiwasi kama wewe ni mume wangu,hayo maneno hapo ndio hayohayo huwa namwambia mume wangu,kukumbatiwa raha bwana
 
MMMH st.paka mbona nimeanza kupata wasiwasi kama wewe ni mume wangu,hayo maneno hapo ndio hayohayo huwa namwambia mume wangu,kukumbatiwa raha bwana

Una muda gani na ndoa yako?
 
kila kitu kinapaswa kufanywa kwa kiasi; mwaweza kumbatiana kwa muda, then mkaachiana space kila mtu akaendelea kivyake na usingizi wake; ni vizuri kuwa na kitanda chenye nafasi ya kutosha (at least 6x6") ili muwe na nafasi nzuri ya ku-manouvre (mna-do na kupeana freedom) na siyo kugandana kama kupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…