Wanandoa na usingizi . . . . .!!

Wanandoa na usingizi . . . . .!!

Baby braze, tok a wifi kaunga akuchumbie unawaza sana ndoa, unaogopa? Maswali yamezidi
 
Kweli watu wanatofautiana,nilishaambiwa usiponikumbatia sipati usingizi we nikumbatie tu nikisinzia basi unaweza kuniachia kama unaona nakukera,na kila nikijaribu kugeuka kabla hajasinzia naulizwa mbona umeniachia bwana.....

Kuna raha yake banaaaa tena kubwa sana hasa mkiwa kwenye birthday suits...unaweza kupandisha nanihii tena mkaishia kujirusha kwa raha zenu.

Last edited by a moderator:
Sipendi kulala na mtu, sipendi kulala nimekumbatiwa maana nahisi kubanwa. (sijui itakuwaje). Lol!
Ngoja wenye ndoa watupe mauzoefu.
in other words you are telling us that ,you are not married heh?.
 
nawasalimu tu, Kaunga njoo umtafutie style ya kulala mmeo.
 
Last edited by a moderator:
nawasalimu tu, Kaunga njoo umtafutie style ya kulala mmeo.

Halafu anarusha mateke huyu, yaani it will take time hadi azoee kulala responsibly!

Eti nasikia nyie mlishatengana vitanda siku nyingi, ni kweli?
 
he he he, tumeungana na aradaiti sasa hivi.

Sema usiku utadhani kuna simba kwa kukoroma, kama uana ear plug naomba ntakuwa kiziwi.

Halafu anarusha mateke huyu, yaani it will take time hadi azoee kulala responsibly!

Eti nasikia nyie mlishatengana vitanda siku nyingi, ni kweli?
 
My sweetie Kaunga acha kunisema,mbona sijasema kuwa unatoaga kaushuzi ukishapitiwa na usingizi?
 
he he he, tumeungana na aradaiti sasa hivi.

Sema usiku utadhani kuna simba kwa kukoroma, kama uana ear plug naomba ntakuwa kiziwi.

Alivyokuwa anakuja kwangu (alipokuwa anakudanganya kasafiri kikazi), nilikuwa ninamlaza kwenye hammock nje kwa garden; yaani l coudnt sleep kwa kweli.

Ngoja nimwambie cacico akupe nilizomuazima baada ya kukutana na mkoromo wa nani yule? nimemsahau!
 
Last edited by a moderator:
My sweetie Kaunga acha kunisema,mbona sijasema kuwa unatoaga kaushuzi ukishapitiwa na usingizi?

Lakini si na weye huwa unanilipizia; tena wewe hutoaga kile cha KIDUUUMUUUU chama cha majambaZIIIIIIIII
 
Lakini si na weye huwa unanilipizia; tena wewe hutoaga kile cha KIDUUUMUUUU chama cha majambaZIIIIIIIII

Ila kaushuzi kako kananukaga mhhh!Tatizo lako unakula mno maharage!
 
Back
Top Bottom