Wanandoa ninaswali kwenu

Kujipendekeza kwa mwenzio kunasaidia smtimes

Au hata bora ulalamike tu kimya kikizidi kinakeraa
 
Kama huna ndoa bila shaka aliyekupa hili swali uliulize atakuwa na ndoa, nadhan kuna tatizo kati yao kuna tatizo kwenye hormones na si ajabu kuna ambaye akiombwa hutoa sababu eeither sijisikii au sina hamu au anatoa ratiba mwisho wa siku ratiba haitekelezeki. kawaida ukimgusa tu mwenzio kama mko naked na mnasiku kadhaa hamja fanya tendo lazima wote betri zitoe cheche na ndio mwanzo wa kulalana. kwa hao kuna tatizo ambalo mmoja au mwingine hajakuwa muwazi kwa mwingine
 
Wazee wiki ni ngumu mnooo, huku nje watu wanavaa vaa vidude vidude tuu, halafu ukae wiki, hata kama kuna kaugomvi, yaani namuomba tu suluhu kwa muda baadae na ugomvi wetu unaendelea. Ile kitu nyie ni tamu wajameni, wanaume hatuwezi kununa wengine mbele ya ile kitu. Nafkir hapo kuna mtu anavuta kasi tuu ili koroba kijae halafu atangaze vita.
 
Ha ha ha
 
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka
Hivi wewe mtoa mada hii ulishuhudia (yaani kwako) au umesimuliwa (kwa mwingine),?
 
Tafiti zinasema

Ukiwaona wapenzi wanafanya mapenzi mara 1 kwa week ..basi hizo ni dalili za mahusiano yao kuwa intensive care unit
 
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka
Duuuh kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…