LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Kujipendekeza kwa mwenzio kunasaidia smtimesHuwa kuna wakati hutokea kama kuna zimwi linapita hivi! Hamna ugomvi, hakuna tatizo lolote lakini kama mnaogopana kufanya jambo!!
Siku mkipata wasaa wa kujadili tatizo nini kila mmoja ataanza na "mi nilijua wewe....!!" (Umekasirika/huna hamu)
Mkiiendekeza hiyo hali mtamaliza mwaka bila kuingiliana na mwishowe mtazalisha ugomvi wa ukweli!
Au hata bora ulalamike tu kimya kikizidi kinakeraa