Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Yapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja
Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
Poa poa nimepata kituYapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.
Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless unamambo yako unayoyaficha, lakini mgeni yoyote kwa upande wowote ule ni baraka, ili mradi una nafasi ya kumu accommodate. Kwa hy hilo halihitaji ushirikishwaji iwe kwa upande wowote ule, kwako ama kwake.
Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Ok bossMume ATAAMBATANA na mkewe, nao hawa wawili watakuwa mwili mmoja.
Hapo tatizo lao kubwa hawajakubali kuambatana pamoja, mume bado anadhani yuko peke yake wakati amekwisha kuoa. Lakini pia hujasema mke naye anachangamoto gani, yawezekana alishaonyesha dalili ya kutotaka ndugu hapo kwake.
Nimekuelewa sanaHakuna formular ya maisha wengine ndoa walizipata kwa bahati na ndani ya ndoa hawana say
hi nadhan inategemea na nafasi ya mke ndaniKuzungumza na kukubaliana ni jambo zuri sio kushtukizana
Kwanza lazima mjue hali zenu ziko vipi kama mtaweza kuwa handle na nafasi yenyewe inatosha?? halafu huyo anayetaka.kuja kuishi kwako anakuja na mpya gani au ana lengo gani, ni.muhimu sana kujadili.nyinyi wawili mpate kumpokea mgeni kwa furaha na mapenzi tele. La kama.kuna kikwazo reasonable( siyo cha uchoyo lakini) mtaahirisha kupokea mgeni.Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja
Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
Huwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.Kuzungumza na kukubaliana ni jambo zuri sio kushtukizana
Hapo patamu utawambia Nendeni nyumbani?? itaonekananunawafukuza, huo ndio uzazi wenyeqe jinsi ya kuwa counsel wakakuelewa nila kuleta conflict. Infact mtu anaejielewa kama alikaa kwa sababu a masomo akimaliza masomo yake anatakiwa ajiongeze asepe.Hapo juu nimechapia kidogo je ntakuwa nimekosea maana kipindi cha nyuma nilikaa na familia kubwa wamemaliza kusoma na wapovyuoni ila sasa nataka nikae Mimi na familia yangu sina cash ya familia kubwa ntakosea nikimwambia wife sitaki familia kubwa?
hi nadhan inategemea na nafasi ya mke ndani
Huwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.