Wanandoa nisaidien hili swali

Mnapoishi kwa taratibu fulani mnatengeneza mazoea fulani.. kulingana na maelezo yako inaweza kua ni kosa au sio kosa kulingana na mazoea walionayo.. Kuna ndoa zingine mke/mme hawezi hata kuamisha position ya kitanda bila kumshirikisha mwenzake maana wametengeneza mazoea hayo. Ndoa nyingine mmoja anaweza amua anunue gari bila kumshirikisha mwezake na ikawa poa tu.
 
Suala la kuja ndugu kuishi kwako nalo nilakujadiliana? Huyo ndugu wa mume unajua ameacha ndugu wangapi hd akachagua kuja kuishi kwenu.
Acha roho mbaya ukiwa na mji kubali kula na ndugu wa pande zote kubali kula na tajiri kubali kula na maskini pia.
Kubali kula na wenye akili timamu na wasio na akili timamu.
 
Bahati mbaya hujaelewa hata nilichomaanisha umekuja na yako kichwan pole
 
Mtafutie kazi au biashara uyo mke wako.... Ili uyo msaidizi aliyemleta aje amsaidie vizuri
 
1.Mgeni ni Baraka na Maandiko yanasema tunao amini maandiko matakatifu nyumba isiyo kaliwa na wageni sio nyumba.

2.Swala la kupokea mgeni alihitaji kuomba ruhusu au kujadiliiana maana ya kujadili inamaana kuna majibu ya ndio au hapana uo ni uchoyo na roho mbya iliyo kubuhu sisi tulio kua zaman simu azijakua za kawaida tulikua tunaondoka bila taarifa kwenda kwa KAKA,MJOMBA ,SHANGAZI NK.aya ya digital siku izi ndio maana kila kukicha tunalaumu maisha ni Magumu maana na hizi roho chafu tulizo nazo tukipata maisha mazur ndugu kijijini watajuta
 
Bahati mbaya hujaelewa hata nilichomaanisha umekuja na yako kichwan pole
Nimekuelewa umekuja na kivuli cha rafikiako wakati n ww mwenyewe.
Kwann km ni rafikiako msiyamalize huko huo ni umbea kuja kutangaza mambo yenu huku
 
Ndugu anayetakiwa kuja kukaa kwakoni
Mama/baba wazee
Mgonjwa anauguzwa
Mwanafunzi anayesoma
Mtoto ambaye wazazi wamefariki.

Wenye nguvu zao wakakae huko watafute maisha. Watakuja kuleta maneno tu.!!
Mtu na akili zake anaenda kuweka kambi kwa dada/kaka mwaka mzima!!
Khaaaaa!!
 
Maswali km hayo yanaashiria vitu viwili.

Moja una roho mbaya yenye chuki, ubinafsi na uchoyo.

Au pili kuna tatizo la kiuchumi, mazingira na kipato.


Tukiacha hayo yoote.... Kwa mtu ambaye yuko real na understand kwa nyanja zoote... Yaani kielimu.. Utamaduni na maisha ya kawaida.

Ujio wa ndugu katika nyumba yenu sio kitu cha kujadili.... Kwan yeye huwa anapunguza nin au kuongeza!?


Ifike steji tutambue kuwa ndoa au mahusiano ni kitu cha kupita tu... Na ndugu ubakia kuwa ndugu.

Binafsi haina haja ya mjadala.. Akija ghfra akitoa taarifa yoote sawa tu... Na mimi nikimwambia mwenza au nisipomwambia yoote akubaliane nayo tu.

Minor shits hizi usizipe nafasi katika ubongo...
 
Go to hell. Are you in elementary school?
 
Duuh
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…