Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Kabla ya kuwauliza wadada, vipi ukikuta mke wako na mwanaume mwingine kwenye kitanda chako????Zamanu niliambiwa na wazee wangu kua mwanamke atasamehe makosa yote ya uchepukaji ya mume wake, lakini kosa pekee ambalo halina msamaha ni mumewe kuchepuka kwenye kitanda wanachokilalia wao mume na mke.
Sa sijui, labda niulize wadada waliomo humu jukwaani, je ni ya kweli hayo??