Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Kabla ya kuwauliza wadada, vipi ukikuta mke wako na mwanaume mwingine kwenye kitanda chako????Zamanu niliambiwa na wazee wangu kua mwanamke atasamehe makosa yote ya uchepukaji ya mume wake, lakini kosa pekee ambalo halina msamaha ni mumewe kuchepuka kwenye kitanda wanachokilalia wao mume na mke.
Sa sijui, labda niulize wadada waliomo humu jukwaani, je ni ya kweli hayo??
Mtuhumiwa amekutwa na kosa la kuua bila kukusudia. Adhabu yake ni kifungo cha nje miezi 6.Kabla ya kuwauliza wadada, vipi ukikuta mke wako na mwanaume mwingine kwenye kitanda chako????
Siyo kweli.... ndoa ikishafungwa hata kama hamjashiriki tendo la ndoa tayari ninyi ni wanandoa Rasmi.... hata Akifa mmoja kabla ya kukutana kimwili anayebaki atamrithi mwenzake kulingana na sheria bila kujali walishiriki tendo au hawakushiriki....
Ukisema tendo linarasimishe maana yake kabla ya kushiriki basi ndoa hiyo siyo rasmi.
Mawazo mgando..... aliyesema mwanaume ni kwanza kufa nani?Kwenye ndoa lengo lenu ni urithi tu, mnaamini wa kufa kwanza ni mwanamme tu…. pumbavu kabisa.
Mwanamke akifa [if that] mume atarithi nini?
Nikajua umefumaniwa, unatafta huruma ya kuhalilisha ulichokifanyamsemo umeexpire enzi za mabikra tu huo[emoji1][emoji1]
Sio heshimu kuzagamuana popote tofauti na ulie nae kwenye ndoa.. hata kama mtaenda nje ya nchi haifai.. tulia njia kuuKiufupi
Haipendezi kuzagamuana na mvhepuko wako kwenye kitanda unacholala na mkeo/mumeo
Kwanza Ni dharau
Kwa hiyo usijaribu kujitetea saaaaaaaana!!!
Mawazo mgando..... aliyesema mwanaume ni kwanza kufa nani?
Wanawake na wanaume wote wana haki hiyo...
Don't think wanawake wa sasa ni wale wa wakati ule!!!! ukisimama na mwanamke wa sasa iwe kwa elimu, fedha au exposure... any side can loose!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajaribu kupotosha tu, ila speaking of kurithi hii ni straight from a man to a bitch…. no more no less.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sasa hapo kuna unafiki gani, kama mtu amekudharau kiasi cha kulala na mtu mwingine kwenye kitanda chenu huoni kama imepitiliza?
Hakuna unafiki wowote hapo, lazima kitanda chako na mumeo kiheshimiwe, hata kama kabla yako waliletwa mamluki!