Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuna maisha unapitia unaona shetan mbona akuachi hasa ukiangaalia mapambano magumh ya maisha
Miezi kadhaa niliwahi lala mwenyewe kama miezi 4 mke alilala na watoto akahamia kwa chumba cha wageni
Haikuwa rahisi yale machunhu pamoja na kurudiana kuna wakati nafungua redio kusikiliza kiboko ya wachawi ilimradi nihamie upande mwingine naamka mwepesi
Shida nikilala hivyo keshoyake yaan napata channel za hela na lazima niwe na gfriend
Nawatakua wote waliopitia na wanaopitia wasikate tamaa waking mke amazingly simamen kama vichwa msiteseke sanaa pambane komaen na maisha mengine mkumbuke aman ndio muhimu kwanza
Wapo wajane wanarelax na kufurahia maisha yao waganewana enjoy sembuse wewe
Ukawe na usukumwema