Wanandoa tuliolala peke yetu vyumbani na wake peke yao tujuane

Tukiwaambia NDOA katika miaka hii ni upuuzi hamuelewi.....hata kama mmependana endeleeni kudate mpaka mfe
 
Upo weye mrembo...mwaka unaisha lakini nakumbushia jambo letu 😜

Aise acha tuu kumbe sie na vigheto vyetu tunasindikiza wengine.
So hapo mgeni asipokuja kipo wazi tuu..jamani
Hauna ndugyako amenyooka tulimalize Hilo sualaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sii ili mradi anapumua tuu na hela ya kubadilisha mboga ipo....huyo yupo tena chap kwa haraka unampata
Kupumua ndio la muhimu siunajua nishakuwa lishangazi nisiekuwa na gariπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…