Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi.
Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani, walikuwa wanaoneshwa kamba za mkonge na ndugu zao kutoka vijijini na kusema "maharusi hawa tumewatunza ng'ombe watatu wa maziwa na wapo kijijini Tarime siku wakija tutawapa" hahahahaaa.
Kuna sister yangu aliolewa mwaka 2011, mpaka leo ile kamba bado ameiweka kama kumbukumbu.