Wanandoa waenda mahakamani kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare

Wanandoa waenda mahakamani kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wanandoa wa Nigeria wafika mahakamani kwa ajili ya kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare. 😂

Inadaiwa kuwa jaji alihoji kama kweli walikuwa wameamua kuvunja ndoa yao baada ya kuwaona wamevalia mavazi yanayofanana.

Walifika mahakamani kwa ajili ya talaka, lakini walionekana kana kwamba wanaelekea kwenye kupiga picha za kumbukumbu za wanandoa. 😭

Ni nani aliyewashawishi kwamba kuvaa mavazi yanayofanana au sare ndiyo ilikuwa uamuzi sahihi kwa siku ya talaka? 😂

1789113284805.png
 
Mapenzi yakishaisha hata kama ungekuwa mrembo kama malkia urembo wako hauonekani tena kwa muhusika....
 
Walifika mahakamani kwa ajili ya talaka, lakini walionekana kana kwamba wanaelekea kwenye kupiga picha za kumbukumbu za wanandoa. 😭
Nimeipenda hiyo. Kumbukumbu yao ya mwisho ya kuwa pamoja kabla ya talaka.
 
Hawa watakua wanpasha kiporo wakisha talakiana, na uyo jamaa atakua analipa kodi kiroho safi
 
Back
Top Bottom