Salaam.
My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k.
Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika kitanda n.k, ni kweli mwanaume anarudi lile life la kigeto geto au linatafutwa chimbo saidizi?
Maana yake mimi binafsi sizipendi hizi kazi na ndoa ya namna hii aisee sidhani kama naweza kutoboa. Wanandoa mnaoishi mikoa tofauti hasa wanaume tupeni experience mnafanyaje fanyaje?
Mnarudia geto life kupiga hizi kazi wenyewe? Au chimbo dogo a k a koloni linahusika?
NB: Hata nikiwa na girlfriend kunisaidia hizi kazi kukampita kushoto, plans nae less than or equal to zero😕