Wanandoa waliooana 1946 Sasa wanasherehekea miaka 75 ya ndoa Yao

Wanandoa waliooana 1946 Sasa wanasherehekea miaka 75 ya ndoa Yao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ulysses umri 94 na Lorraine Dawson mwenye miaka 92 wote wa huko west Virginia wanasema ndoa yao hiyo ya miaka 75 ilikuwa na furaha na changamoto nyingi, wakati wanasherehekea anniversary hio mume alivaa magwanda ya kijeshi aliyopigana nayo Vita kuu ya pili ya dunia na ndio mavazi ambayo aliyavaa alipokutana na huyo mkewe.

Mkewe alivaa shela jeupe ila kwenye harusi yao original alivaa suti nyekundu anasema anakumbuka siku anakutana na mumewe alikuwa kajitwisha ndoo ya maji na alipomuona alidondosha ndoo na ndio mahusiano yakaanzia hapo.

Mume ameshauri wanandoa wachanga wapendane 50/50 na sio 80/20.

Sky Eclat

20211006080321_971779536_6949932131538848714_640_359_85_webp.jpg
 
Until death do us apart....[emoji4]
 
Back
Top Bottom