Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Msemo wa age is just a number ndiyo habari ya mjini. Babu wa miaka 70 anafunga ndoa na binti wa miaka 25. Au bibi wa 55 anaolewa na kijana wa 35. Mwanamama mtunzi wa vitabu aitwae Jacque Collins aliwahi kusema tofauti ya umri kati ya wanandoa ikiwa kubwa sana mara nyingi mmoja wapo kati yao uchumi umetulia.
Kwa maendeleo ya sayansi na imeleta mabadiliko mengi kwa, binadamu tunaishi muda mrefu. Magonjwa mengi yaliyokuwa hatari zamani sikuhizi yanaitwa magonjwa sugu. Binadamu anaejali afya yake anafikisha miaka 90 bila shida ingawa safari za hospitali kwa wengine zinapngezeka.
Duniani maradhi yanayosumbua wazee hasa katika hatua za kuzeeka yaitwayo dementia mpaka sasa hayajapatiwa tiba. Dementia huharibu au kupunguza uwezo wa ubongo katika maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Changamoto za dementia humfanya mtu kuwa vulnerable na ni rahisi kuonewa , kuibiwa na kunyanyaswa kama wanaokulea hawana mapenzi ya dhati.
Kabla hamjaamua wa kutumia nao pesa zenu, fikirieni hili pia.