Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndoa n jambi jema sana.

Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana.

Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa.

Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa

Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii

Wachaga wanasema bado mtasemaaaa.

Sikukuu njema wote
 
Vijana acheni kukariri na mwisho wa siku mnakuja na maoni ya jumla utadhani kila kitu kiko hivyo kwa kila mtu,nina zaidi ya miaka kumi kwenye ndoa ,bado tunapendana sana na mke wangu,sioni tofauti wakati wa uchumba wetu na sasa,
 
Lazima tofauti ipo ila sio ya kufanya mtu aogope ndoa..sijui nini kimewakuta vijana siki hizi aisee...mbona maisha yapo kawaida tuu ni vile mnavyoamua kuishi..
Any way hongera mkuu...
 
Pdidy katoka wapi tena na mwandiko wake kama bata kuleta mambo ya ndoa kwenye michezo
 
Kijana kataa ndoa,
Ndoa ni utapeli,
Ndoa ni unyonyaji.
Ndoa ni mzigo mzito.
Kataa ndoa okoa kibunda.
 
Moderator, ikikupendeza ungeuhamishia huu uzi kwenye jukwaa pendwa kabisa la MMU, au lile la Hoja Mchanganyiko.
 
Vijana acheni kukariri na mwisho wa siku mnakuja na maoni ya jumla utadhani kila kitu kiko hivyo kwa kila mtu,nina zaidi ya miaka kumi kwenye ndoa ,bado tunapendana sana na mke wangu,sioni tofauti wakati wa uchumba wetu na sasa,
Ulioa chaguo lako
 
Mimi yangu Raha itakuwa Hadi mmoja afe na tutapendana kwelikweli inshallah
 
Hili swala la NDOA linaonekana kuwa na Siri kubwa Sana[emoji276]
 
Back
Top Bottom