Lazima tofauti ipo ila sio ya kufanya mtu aogope ndoa..sijui nini kimewakuta vijana siki hizi aisee...mbona maisha yapo kawaida tuu ni vile mnavyoamua kuishi..Vijana acheni kukariri na mwisho wa siku mnakuja na maoni ya jumla utadhani kila kitu kiko hivyo kwa kila mtu,nina zaidi ya miaka kumi kwenye ndoa ,bado tunapendana sana na mke wangu,sioni tofauti wakati wa uchumba wetu na sasa,
NakaziaKijana kataa ndoa,
Ndoa ni utapeli,
Ndoa ni unyonyaji.
Ndoa ni mzigo mzito.
Kataa ndoa okoa kibunda.
Atakuwa pdidy poriPdidy katoka wapi tena na mwandiko wake kama bata kuleta mambo ya ndoa kwenye michezo
Ulioa chaguo lakoVijana acheni kukariri na mwisho wa siku mnakuja na maoni ya jumla utadhani kila kitu kiko hivyo kwa kila mtu,nina zaidi ya miaka kumi kwenye ndoa ,bado tunapendana sana na mke wangu,sioni tofauti wakati wa uchumba wetu na sasa,