Sio kweliWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Dah, ila wanaume tunajikuta tuna nguvu ila wakituingiza kwenye mifumo yao tunaishia kujuta... Video kali sana[emoji24][emoji24]Ukikuta mwanaume anaamua kulala bar, muwe mnamuelewa![emoji2303]View attachment 2700393
Sent using Jamii Forums mobile app
70 pedcWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Hiyo ni hali inayokukuta wewe na mkeo,usiwasingizie wanandoa wengineWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Sasa yeye aliingia kwenye ndoa akidhani mbususu atakula yeye peke 🤣🤣🤣 binadamu wana matarajio ya ajabu kweli kwleli.
Safi sanaWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.